Breaking News

Gallery

Eyesees Pictures| JaeJoe

GRAPHICS AND VIDEO PRODUCTIONS 

YOUTUBE CHANNEL: VISIT

 Wasanii wote wa TZ, nafasi yenu ya kujidai ndio hii hapa!, kama wewe ni = • mchoraji • muigizaji • mpiga picha • video vixen • mchongaji • muimbaji • mshairi • mtunzi • etc ... na unacho kitu cha kuonyesha hilo ufanyalo!, tafadhali usisite kuwasiliana nasi ili tuweze kufanya #mahojiano rasmi ya kuku-tambulisha | kukutangaza kwa #hadhira husika na ufanyacho ... kipindi kinaitwa #indystreetvideomagazine na hakuna #gharama zozote katika kufanikisha hilo! ... #LOL.

Tafadhali tusaidie kufikisha taarifa hizi kwa uma na yeyote ambaye unafikiri anastahili nafasi hii ya kipekee kabisa kwenye #entertainment aka #burudani na #sanaa kwa ujumla.

CONTACTS:
+255 (0) 682 505 651
ESP - Eyesees Pictures
Dar Es Salaam

indystreet™ SERIES

indystreet™_S01EP01 

 YOUTUBE LINK: https://youtu.be/xPy76wuSXkc

 
ABOUT THE WEB-SERIES INDYSTREET:
√•| indystreet™ video magazine ni project inayongea na #wasanii wa #tasnia mbali-mbali  juu ya kazi zao hence = A platform for them to #promote their #artworks here na kwa kuanza, tumeona ni bora tufanye na wale ambao bado "hawajatambulika" lakini tayari wana kitu cha "kuonyesha" kwa #hadhira husika ie: = movie • single • extended play catalogue • picha (wachoraji) | wapigaji ... etc ....
√•| wewe ukiwa kama #mdau wa #sanaa hapa #Tanzania na kote kwingineko,  tunaomba msaada wako katika kulifanikisha hili, najua hapa mwanzo ni "pagumu" lakini goals bado ziko pale - pale kama unakumbuka #indystreet ilianza kama #podcast tu for the 1st two season na sasa tumeamua kwenda kwenye upande wa #video #picha, tunaamini kwamba hii ni #hatua moko mbele mkuu.
å| Msaada wenu hapa wa namna yeyote, either kwa #Ku-share au ku-tuunganisha na #wasanii aka #vichwa ambavyo mnafahamiana navyo na vilivyo-kidhi hayo "matakwa" tajwa hapo juu, please - please #wadau ... #amshagumzo #mudandiohuu #allforonenoneforall

YOU CAN ALSO FOLLOW THESE SERIES HERE:

CONTACTS:
+255 682 505 651
+255 767 505 651
What'sApp | Direct Calls
Thanks in Advance.
Jayjoe "Jizzle" Shoo
aka MangiThe3rd
For ESP - EyeseesPictures