Breaking News

Gallery

Promote Music

JE ! Wewe ni Msanii na ungependa kuwa maarufu kwa kutangaza kipaji chako katika mtandao 
      unaofikiwa na watu kote ulimwenguni ? Hujachelewa, Unaweza kutangaza nasi kupitia website yetu na mitandao yetu ya kijamii kwa kufuata mambo yafuatayo:-
     (a) Hakikisha una Audio au Video yenye kiwango kinachotakiwa {High Quality}
     (b) Kwa Audio unatakiwa kuwa na Photo Cover yake pia yenye kiwango sahihi {High Quality}
        kama hauna Cover wasiliana na huyu ni GraphicDesigner (Piga/SmS/Whatsapp: 0624132227)
                          
-Bei ya kuwekewa wimbo wako kwa Audio ni Tshs.10,000 na Video ni Tshs.15,000 
-Bei ya kuwekewa Profile yako kama Msanii| Artist ni Tshs.30,000
-Bei ya kuweka Link ya Group lako la Whatsapp, Facebook au Telegram ni Tshs. 5,000
-Bei ya kuwekewa download link ya App yako ni Tshs. 5,000  


 NJIA YA MALIPO
 Malipo yote yafanyike  kwenye  akaunti ya TigoPesa: 0672017086 au M-Pesa: 0765570356.
NB:
- Tuma kazi yako kwenye email ambayo ni  Email: bossmuzikstudios@gmail.com
- Baada ya malipo tuma ujumbe mfupi au piga simu kwenye namba na kutujulisha jina, email na namba uliyotumia kufanyia mwamala na kuhusu kazi unayotaka ionekane kwa ujumla.
 - Baada ya hapo kazi yako itaonekana.
                                                         
FAIDA ZA KUTANGAZA NASI
1. VIDEO au AUDIO yako itaweza kuonekana katika baadhi ya blog au website nyingine nyingi.
2.Nyimbo yako itaweza kuonekana GOOGLE Search Engine na hapo itaweza kupakuliwa kupitia  website yetu.
3. Nyimbo yako itaweza kufikiwa na kusikilizwa na watu wengi kutoka maeneo mbalimbali ndani         na  nje ya nchi.
4.Nyimbo yako itakuwa mtandaoni daima haitaweza kufutwa na yeyote yule.
5.Wewe kama msanii unaweza kutengeneza mashabiki wengi, show/shoo na watu wa kudhamini kazi zako.

KUWA MAARUFU KWA KUTANGAZA NASI KOTE NCHINI NA NJE YA NCHI.

        BY BOSSMUSIC.CO.TZ